Aina za Sherehe
Kwa kila sherehe
💍
Harusi
🎀
Send Off
🎓
University
✝️
Kipaimara / Komunio
🎂
Birthday
💧
Ubatizo
📜
Graduation
✨
Nyingine
Vipengele
Vyote unavyohitaji
✉️
Kadi za Mialiko
Buni kadi nzuri kwa kila aina ya sherehe na pakua au tuma link.
💝
Kadi za Ufadhili
Kadi maalum za kuomba michango, zikitofautiana na mialiko.
✓
Link ya RSVP
Kila mwalikwa anapata link yake ya kibinafsi — jibu kwa mguso mmoja.
✦
Shukrani Kiotomatiki
Tuma ujumbe wa shukrani kwa wageni baada ya sherehe.
Inavyofanya kazi
01
Sajili na buni
Chagua aina ya sherehe, andika maelezo, pamba kadi yako.
02
Ongeza wageni
Pakia orodha ya wageni au ongeza mmoja mmoja.
03
Tuma na fuatilia
Tuma link, ona wanaohudhuria, na shukuru baadaye.